Tuesday, February 28, 2017

TMA YAANDAA WARSHA KWA WANAHABARI KUHUSU MSIKU WA MVUA ZA MASIKA 2017, KIBAHA

Mkurugenzi Mkuu Dkt. Agnes Kijazi akifafanua jambo kwa wanahabari katika warsha ya siku moja iliyofanyika Kibaha kuhusu msimu wa mvua za MASIKA 2017
Baadhi ya wanahabari wakisikiliza kwa makini
Dkt. Hamza Kabelwa, Mkurugenzi wa huduma za utabiri akichangia jambo
Wanahabari katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt, Agnes Kijazi


No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...