Thursday, February 5, 2015

VIONGOZI MBALIMBALI WATEMBELEA BANDA LA TMA KWENYE MAONESHO YA MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT)


Washiriki wa TMA katika banda la Mamlaka kwenye maadhimisho ya Miaka 40 ya Chuo cha Usafirishaji Bw. Joseph Aliba na Bi.Monica Mutoni wakisikiliza maoni toka kwa Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga Meja Jenerali Joseph Kapwani.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi  Bi. Monica Mwamnyange akiongea na wanachi walifurika katika banda la TMA kuhusu umuhimu wa taarifa zitolewazo na Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini

Mkurugenzi Mkuu TMA akifanya mahojiano na vyomba vya habari kwenye banda la TMA katika ushiriki wa maonesho ya miaka 40 ya Chuo cha Usafirishaji(NIT) 


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Bw. Charles  Chacha akisaini kitambu cha wageni alipotembelea banda la TMA
 Mkuu wa Chuo cha NIT akisaini kitambu cha wageni alipotembelea banda la TMA


Bw. John Mayunga akitoa elimu kwa baadhi ya wageni waliotembelea Banda la TMA

Wageni mbalimbali wakitembelea mabanda kupata elimu
Baadhi ya wanachuo wakipata elimu kutoka kwa maafisa wa TMA Bi.Monica Mutoni (Juu) na Bw. Muhidin Mawazo (chini)
Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Kijazi akipata maelezo kutoka kwa afisa wa kampuni ya Scania jinsi kampuni ya Scania inavyotoa magari ya kisasa mojawapo ni kuhakikisha dereva aliyetumia kilevi hawezi kuwasha gari wakati alipotembelea baadhi ya mabanda ya taasisi zilizoshiriki katika maonesho hayo.
Mkurugenzi Mkuu TMA Dkt. Kijazi akipata maelezo kutoka Mkurugenzi na Mkufuzi wa Chuo cha Marubani (Tanzania Pilot Training Centre) kilichopo katika uwanja wa ndege wa kimataifa jinsi gani chuo hicho kinatumia taarifa za hali ya hewa kwa ajili ya mafunzo wakati alipotembelea baadhi ya mabanda ya taasisi zilizoshiriki katika maonesho hayo.

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...