Tuesday, February 10, 2015

SHULE YA JESHI LA WANAMAJI-KIGAMBONI YATEMBELEA OFISI ZA HALI YA HEWA JNIA



Shule ya Kijeshi ya Wanamaji Kigamboni watembelea ofisi za  JNIA kwa ajili ya mafunzo. Pichani ni mkuu wa shule hiyo akikabidhi zawadi ya fulana kwa Kaimu Meneja wa Usafiri wa Anga na  Maji Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ndugu John Mayunga. Pembeni ni ofisa wa zamu(Duty Forecaster) ndugu Maria Cathbert

No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...