Thursday, August 7, 2014

MHE:SOPHIA SIMBA AWAPONGEZA TMA KUWAFIKISHIA WAKULIMA TAARIFA ZA HALI YA HEWA KWA MATUMIZI YA KILIMO KWA NJIA YA SIMU ZA MKONONI


Waziri wa Maendeleo ya Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kanda Bw. Augustino Nduganda kwenye banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa katika maonesho ya NaneNane 2014 mkoani Morogoro




Baadhi ya wanafunzi wakipata elimu ya upimaji wa hali ya hewa kutoka kwa maafisa wa hali ya hewa kwenye maonesho ya NaneNane mkoani Morogoro



No comments:

Post a Comment

Featured Post

DKT. KIJAZI: KIWANGO CHA USAHIHI WA UTABIRI WA MSIMU WA VULI 2019 KIWE CHA JUU ZAIDI.

Mkurugenzi mkuu wa TMA na Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani Dkt. Agnes Kijazi (katikati mwenye suti nyeusi) waka...